Hii ni nyumba ya vyumba 3,iliyosanifiwa kwa kuzingatia wale wanaopenda vyumba vikubwa kiasi na wenye eneo la kutosha kujenga na kuifurahia mandhari inayozunguka nyumba
Unaweza kujenga nyumba hii kwenye kiwanja chenye ukubwa kuanzia meta 18 kwa 25.
Mvuto wake na mpangilio ndani na nje utakufanya ufurahie kuishi na kuiita nyumbani
Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwa suluhisho kwenye kutoa huduma ujenzi kwa .Watanzania na wote wenye kuhitaji kujenga na kumiliki nyumba bora. Watanzania wengi bado hawajapata elimu ya kutosha kuhusu ujenzi, hivyo hujenga pasipo kutumia wataalamu.Ni imani yetu tutakuwa suluhisho na washindani katika kubuni teknolojia mpya na ufundi mpya kuwawezesha watanzania kupata makazi bora na nafuu.Tunafanya kazi kwa weledi. Bidii,ubunifu vinatusukuma kufanya kazi zenye kuvutia
Labels
Showing posts with label Ujenzi unaendelea. Show all posts
Showing posts with label Ujenzi unaendelea. Show all posts
Sunday, March 25, 2018
Friday, July 3, 2015
TUAMBIE HITAJI LAKO
Moja ya sifa ya nyumba ya kisasa ni kuwa na mpangilio wenye kuruhusu nafasi kwa mahitaji mbalimbali ikiwemo kukaa, chakula, kupumzika, kusomea na kujifunzia,
Sehemu za kupikia, maliwato na pia kuwe na nafasi za kupita na kupitisha vifaa
.Hii ni moja ya nyumba mbayo inakufanya usichoke kuishi.kuna sehemu zote ikiwemo studio na pia nje panatoa nafasi ya mapumziko na kuongeza mvuto wa mazingira.Je hitaji lako ni nini kwenye nyumba?
Subscribe to:
Posts (Atom)




