Showing posts with label RAMANI ZA KISASA. Show all posts
Showing posts with label RAMANI ZA KISASA. Show all posts

Saturday, April 7, 2018

JIPATIE RAMANI YA KISASA -NYUMBA YA NDOTO YAKO

JIPATIE NYUMBA YA VYUMBA 3
ina sebule kubwa
Dining
Jiko lenye stoo ndogo
Vyumba 2 na common toilet
Master bedroom
KWA NINI UICHAGUE
Imesanifiwa vema kwa kuzingatia mahitaji muhimu ikiwemo hewa ya kutosha,mwanga,matumizi bora ya eneo na uzuri



Sunday, March 25, 2018

NYUMBA YA VYUMBA VITATU VIKUBWA

Hii ni nyumba ya vyumba 3,iliyosanifiwa kwa kuzingatia wale wanaopenda vyumba vikubwa kiasi na wenye eneo la kutosha kujenga na kuifurahia mandhari inayozunguka nyumba

Unaweza kujenga nyumba hii kwenye kiwanja chenye ukubwa kuanzia meta 18 kwa 25.

Mvuto wake na mpangilio  ndani na nje utakufanya ufurahie kuishi na kuiita nyumbani