Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwa suluhisho kwenye kutoa huduma ujenzi kwa .Watanzania na wote wenye kuhitaji kujenga na kumiliki nyumba bora.
Watanzania wengi bado hawajapata elimu ya kutosha kuhusu ujenzi, hivyo hujenga pasipo kutumia wataalamu.Ni imani yetu tutakuwa suluhisho na washindani katika kubuni teknolojia mpya na ufundi mpya kuwawezesha watanzania kupata makazi bora na nafuu.Tunafanya kazi kwa weledi. Bidii,ubunifu vinatusukuma kufanya kazi zenye kuvutia
Saturday, April 7, 2018
JIPATIE RAMANI YA KISASA -NYUMBA YA NDOTO YAKO
JIPATIE NYUMBA YA VYUMBA 3 ina sebule kubwa Dining Jiko lenye stoo ndogo Vyumba 2 na common toilet Master bedroom KWA NINI UICHAGUE Imesanifiwa vema kwa kuzingatia mahitaji muhimu ikiwemo hewa ya kutosha,mwanga,matumizi bora ya eneo na uzuri
No comments:
Post a Comment