Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwa suluhisho kwenye kutoa huduma ujenzi kwa .Watanzania na wote wenye kuhitaji kujenga na kumiliki nyumba bora. Watanzania wengi bado hawajapata elimu ya kutosha kuhusu ujenzi, hivyo hujenga pasipo kutumia wataalamu.Ni imani yetu tutakuwa suluhisho na washindani katika kubuni teknolojia mpya na ufundi mpya kuwawezesha watanzania kupata makazi bora na nafuu.Tunafanya kazi kwa weledi. Bidii,ubunifu vinatusukuma kufanya kazi zenye kuvutia
Thursday, July 27, 2023
Saturday, April 28, 2018