Nyumba Boratz

Lengo letu ni kuhakikisha tunakuwa suluhisho kwenye kutoa huduma ujenzi kwa .Watanzania na wote wenye kuhitaji kujenga na kumiliki nyumba bora. Watanzania wengi bado hawajapata elimu ya kutosha kuhusu ujenzi, hivyo hujenga pasipo kutumia wataalamu.Ni imani yetu tutakuwa suluhisho na washindani katika kubuni teknolojia mpya na ufundi mpya kuwawezesha watanzania kupata makazi bora na nafuu.Tunafanya kazi kwa weledi. Bidii,ubunifu vinatusukuma kufanya kazi zenye kuvutia

Tuesday, April 3, 2018

NYUFA/KREKI(CRACKS)

›
Nyufa hutokea zaidi kwenye nyumba zilizojengwa kwa tofali za saruji ama za udongo. Mara nyingi sababu kuu ya kutokea nyufa kwenye nyum...
Monday, March 26, 2018

KWA NINI NI MUHIMU KUZINGATIA PANDE ZA DUNIA UNAPOCHAGUA SEHEMU YA KUJENGA NA KUJENGA?

›
Kulingana na mapokeo na   utaalamu toka kale, ni muhimu sana kuzingatia pande za dunia unapotaka kujenga,hasa unapochagua sehemu ya k...
1 comment:
Sunday, March 25, 2018

NYUMBA YA VYUMBA VITATU VIKUBWA

›
Hii ni nyumba ya vyumba 3,iliyosanifiwa kwa kuzingatia wale wanaopenda vyumba vikubwa kiasi na wenye eneo la kutosha kujenga na kuifurahia m...

NYUMBA YA VYUMBA 3

›
Hii ni nyumba ya vyumba vitatu ambayo inajumuisha sebule,chumba cha chakula(dining), jiko lenye stoo ,common toilet na chumba kimoja kati ya...

MAMBO YA MUHIMU KUZINGATIA UNAPOBUNI NA KUJENGA NYUMBA

›
1.MLANGO MKUBWA WA KUINGIA NDANI(MAIN DOOR) picha kwa hisani ya Pongu J Mlango mkuu wa kuingia kwenye nyumba ndio unaokaribisha ...
Sunday, March 11, 2018

DONDOO MUHIMU KATIKA UCHAGUZI WA KIWANJA CHA KUJENGA NYUMBA YAKO YA KUISHI

›
Kutafuta kiwanja ni hatua ya awali kabisa kuelekea kujenga nyumba ya ndoto yako. Hatua hii ni muhimu sana kwani ardhi ni gharama na ukis...
Sunday, July 19, 2015

KUKAMILISHA NDOTO YA NYUMBA YAKO

›
Picha ikionesha sehemu za ndani za nyumba kadiri ya muono wa msanifu-Imesanifiwa na P.J Kila mtu anapotaka kujenga nyumba,huwa na pi...
‹
›
Home
View web version

About Me

nyumba boratz
View my complete profile
Powered by Blogger.